Karibuni katika blog yangu kujifunza na kuelewa umuhimu wa habari katika jamii inayotuzunguka.......... katika jamii inayotuzunguka technologia ya habari imekua tofauti na kile ambacho kinadhaniwa katika jamii. inajulikana kama ni technologia iliyo na mitazamo hasi katika jamii kwa mfano mitandao ya jamii imekua ikiangaliwa katika mitazamo hasi katika jamii maana imekua ikipotosha jamii. HIVYO VYOTE VIMEBEBWA NA TECHNOLOGIA YA HABARI hiyo ni mitazamo ya baadhi na wanajamii wasio kua na uelewa wa hii technologia ya habari. leo nataka nikufungue na nikueleze maana na matumizi ya hii technologia ya habari katika jamii ya leo....... Nafurahi kuwa utanielewa na maana Technologia ya habari inahusika na matumizi ya kompyuta zitumiazo umeme na programu za kompyuta kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza, na usalama katika kupokea habari. Hiyo ndo maana ya technologia ya habari na siyo kama wanajamii baadhi wanavyo ielewa. endelea kuwa na mimi katika kuji...
Ni blog ambayo itakufundisha mambo mengi kuhusu technologia ya habari. katika kizazi cha sasa technology imeendelea kuwa chachu ya mafanikio.Katika blog yangu utapata maelekezo na vitu vinavyoendelea kutengenezwa kila inapoitwa leo katika ulimwengu huu. nitakuwa nakuletea kwa karibu vitu tofauti tofauti ili uweze kujionea na kuvitambua. katika kizazi hichi nani anakubali kuwa nyumaaa kitechnologia kaa karbu nami nikuelimishe na kukufikishia aina tofauti tofauti za kitechnilogia