Skip to main content

Posts

Showing posts from March 5, 2015

IJUE TECHNOLOGIA YA HABARI

2. Inafanya maisha kuwa rahisi Upatikanaji wa habari umerahisishwa kwa kutumia kumpyuta na intaneti. Kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano( communication technology ),watu wanaweza kufanya mikutano kwa kutumia video (video conference) kwa mfano program ya Skype. Vilevile mtu anaweza kuwasiliana na ndugu na marafiki kwa kutuma   ujumbe ( chatting ). kwa mfano Facebook, what supp, tweeter n.k, zinatusababisha ujumbe ufikwe kwa walengwa husika kwa wakati.   pia kwa kutumia technologia unaweza kufanya kazi yeyote kwa kutumia muda mdogo sana mfano kufikisha taarifa kwa jamii uanweza kutumia mitandao ya kijami. pia technologia inaongeza uafanisi wa kazi za kila siku mfano utumiaji wa outlook katika baadhi ya makampuni ambayo ufanisi wake wa kushea data katika vitengo vyake inakua rahisi pia utumiaji wa technologia ya database  inasaidia uhifadhi mzuri wa data katika kampuni    ni technologia inayotumika kuhifadhi data zote za kampuni au biashara yako n...