2. Inafanya maisha kuwa rahisi Upatikanaji wa habari umerahisishwa kwa kutumia kumpyuta na intaneti. Kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano( communication technology ),watu wanaweza kufanya mikutano kwa kutumia video (video conference) kwa mfano program ya Skype. Vilevile mtu anaweza kuwasiliana na ndugu na marafiki kwa kutuma ujumbe ( chatting ). kwa mfano Facebook, what supp, tweeter n.k, zinatusababisha ujumbe ufikwe kwa walengwa husika kwa wakati. pia kwa kutumia technologia unaweza kufanya kazi yeyote kwa kutumia muda mdogo sana mfano kufikisha taarifa kwa jamii uanweza kutumia mitandao ya kijami. pia technologia inaongeza uafanisi wa kazi za kila siku mfano utumiaji wa outlook katika baadhi ya makampuni ambayo ufanisi wake wa kushea data katika vitengo vyake inakua rahisi pia utumiaji wa technologia ya database inasaidia uhifadhi mzuri wa data katika kampuni ni technologia inayotumika kuhifadhi data zote za kampuni au biashara yako n...
Ni blog ambayo itakufundisha mambo mengi kuhusu technologia ya habari. katika kizazi cha sasa technology imeendelea kuwa chachu ya mafanikio.Katika blog yangu utapata maelekezo na vitu vinavyoendelea kutengenezwa kila inapoitwa leo katika ulimwengu huu. nitakuwa nakuletea kwa karibu vitu tofauti tofauti ili uweze kujionea na kuvitambua. katika kizazi hichi nani anakubali kuwa nyumaaa kitechnologia kaa karbu nami nikuelimishe na kukufikishia aina tofauti tofauti za kitechnilogia