Skip to main content

Posts

Showing posts from March 1, 2015

Kampuni ya Smartwatch kuzindua saa mpya

ni moja ya makampuni makubwa sana na yenye mafanikio katika biashara ya simu duniani sasa imejikita zaidi katika mambo ya Saa za mikononi zikiwa zinatumia technologia ya digitali kama hiyo apa : Saa hizo zinazoendelea kujipatia umaarufu duniani kutokana na uwezekano wakuhamisha au kushare  data zilizo kwenye simu na kuwa na uwezo wakuziona kwenye Saa yako ya mkononi kama mtu akikupigia, mesegi n.k unakuwa na uwezo wakuziona katika Saa yako ya mkononi.  haya ni mabadiliko ya technologia ya kilasiku na inaendelea kukua siku hadi siku na ni faida kwetu katika jamii zetu kwa mfano Samsung gear   yenye technologia sawa lakini zinaongezewa baadhi ya technologia na kuifanya ziendele kubadilika na kuraisisha maisha yakitechnologia kila siku. hembu lione hili na uniambie kama technologia ya habari inamanufaa kwetu au bado inaharibu jamii yetu