Kwa zaidi ya siku tatu nimekua nikifuatilia maonyesho ya kiteknologia inchini Barcelona Hispania ambapo makampuni mbalimbali na makubwa ya dunia yamekusanyika kuonyesha ukali wao kwenye maswala ya digital. Mpaka sasa HUAWEI wameendelea kuongoza kwa kuzimiliki headlines kubwa za dunia kutokana na bidhaa mbalimbali walizozindua ambapo leo ilikua ni zamu ya hii saa ya kisasa. Ni saa ambayo pamoja na mambo mengine, inakupa muda kama zilivyosaa nyingine, simu yako inaweza kuwa mbali na wewe lakini hii saa ikakuonyesha nani anakupigia, inakupa utabiri wa hali ya hewa, kuna sehemu ya kukutunzia kumbukumbu za vitu unavyotaka kufanya. Kingine kikubwa nilichopenda ni kwamba ina uwezo wa kukutelea taarifa mpya kila wakati kama umepata msg Facebook, kwenye email na mitandao mingine ya kijamii. Hizo ni baadhi ya sifa zake tu. Inapatikana katika muonekano tofauti kama inavyoonekana hapa. Unaweza kutazama video ya maelezo mengine ya hii saa kwa ku...
Ni blog ambayo itakufundisha mambo mengi kuhusu technologia ya habari. katika kizazi cha sasa technology imeendelea kuwa chachu ya mafanikio.Katika blog yangu utapata maelekezo na vitu vinavyoendelea kutengenezwa kila inapoitwa leo katika ulimwengu huu. nitakuwa nakuletea kwa karibu vitu tofauti tofauti ili uweze kujionea na kuvitambua. katika kizazi hichi nani anakubali kuwa nyumaaa kitechnologia kaa karbu nami nikuelimishe na kukufikishia aina tofauti tofauti za kitechnilogia