Skip to main content

Posts

Showing posts from March 2, 2015

IJUE TECHNOLOGIA YA HABARI

Nadhani sasa unakubaliana na mimi kuwa technologia ya habari inaendelea kukua na wanajamii wanaendelea kuelewa na kuona faida zake katika jamii. nikweli kabisa jamii inaendelea kuwa huru nakufyatilia ukuaji wake japo kuna wachache wanoendelea kubadilisha mtazamo chanya kuwa hasi katika technologia .sikatai kweli technologia ya habari ina mapungufu yake katika jamii lakini leonataka nikutajie faida tano za technologia ya habari katika jamii inayo tuzunguka Mawasiliano: kiukweli bila technologia wewe na mimi tunakubaliana kwamba tulikua tunashindwa kufikisha ujumbe mahali usika kwa wakati na kuchelewesha habari kufikia jamii husika kama kunatatizo katika jamii. hivyo technologia ya habari imekuja kuokoa jamii zetu na kuzidisha maendeleo mazuri katika jamii zetu ikiwemo kuipa fusa tofauti tofauti kama vyombo vya habari, mitandao ya kijamii, makampuni ya simu yanayoshika kasi katika ukuaji wake wakila siku.kwa mfano kampuni la airtel linazidi kujiongezea wateja kutokana na promotion...