Skip to main content

Posts

Showing posts from June 17, 2016

WAJASIRIAMALI WA TECHNOLOGY NA MAFANIKIO YAO

Wajasiriamali ni wengi katika tasnia hii ya technology. Kila mtu anajaribu kutumia ukuaji wa technology katika maendeleo yake binafsi na wengine wanatumia katika maendeleo ya jamii. Sikatai technology inafaida na hasara zake ila ndo mfumo wa dunia ya leo kuwa kunafaida na hasara. Kwa upande wa faida  Wao hutenda kwa ufanisi wa hali ya juu nakufanya kitu kuwa katika sifa na ubora, pia tabia na akili zao huja na mawazo ambayo huleta hamasa jamii. Lakini kwa sababu tu wao wanafikiri awali na kuja na wazo huchukua nafasi kubwa katika jamii zetu zinazotuzunguka. Kwa mfano wapo watu maharufu sana duniani kutokana na utumiaji mzuri wa technologia. Wapo nakina bill gates mmiliki na mwanzilishi wa microsoft, steven jobs moja wa waanzilishi wa iphone, mark Mark Zuckerberg  mwanzilishi wa facebook, Kevin Systromya mwanzilishi wa instagram na wengine wengi wapo wanaoendelea kula matunda ya technologia. Wewe pia unanafai yakufaidika na mitandao hata kwa kutumia ilio anzishwa na watu weng...