Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2016
  Kuanzisha tovuti kwa huduma mbalimbali Kwa afrika watu hunufaika na tovuti ndio kwanza ipo steji za mwanzoni, ni dhahiri unaona kila kijana anaangalia jinsi gani atajikwamua kiuchumi. kwa maana hiyo basi wewe kama kijana nikuchukua fursa hii na kucheck ni namna gan utaigusa jamii inayokuzunguka na ikubaliane na wewe katika lile jambo ulodhamiria kuwafikishia. Unaweza anzisha tovuti na kutoa huduma ya taarifa watu wanatafuta ,baada kuwa mmiminiko wa watu wengi wanaotembelea tovuti yako,unaweza sasa ongea na kampuni kadhaa kuja kutangaza na wewe  na kutengeneza fedha za kutosha.Kama hujui jinsi ya kutengeneza tovuti usijali kuna tovuti za bure kabisa  ambazo zimetengenezwa tayari kinachohitajika ni wewe kujaza fomu zao na ndani ya dakika moja unakuwa  na wewe tovuti yako,na kama unahitaji nunua domain unaweza ikawa moja kwa moja tovuti yako.Tovuti unazoweza ingia na kutengeneza tovuti yako bure ni  i)   www.weebly.com   ii)...