Worlds Brightest (G700 flashlight) Inachukua kama dakika tatu kuona vizuri mpiga picha akikupiga picha usiku kwa kutumia flash au mwanga wa kamera Kwa wapenzi wa kuangalia filamu za wazungu utaona wanajeshi wakiingia kwenye mahandaki, wakiwa kwenye uokozi wa vifusi migodini au wakiwa kwenye vita za usiku kunatochi zinazomulika zinazo angaza umbali mrefu ikiachia macho uwezo wakuona vitu vya mbali, sasa kwa technologia ya kisasa au yakileo imekukuwa sio kuiona kwenye filam unaweza na wewe ukaimiliki nyumbani kwako. Ni baada ya wanajeshi wameiachia kuiachia hiyo technologi kwa wananchi wakawaida kutumie hiyo technologi ya mwanga LED G700. Ilikuwa ni technology ya kwenye filam na wanajeshi wengi ndo tumezoea kuona huko ila sasa wameamua na wewe mwananchi utumie ujivinjari na usiku uone kama mchana vile. Wameruhusu makampuni kuziuza tochi hizo aina ya kama LED G700 inavyoonekana hapa wanajeshi wakitumia G700 PICHA: HIYO NDO PICHA YA G700 ( LumiTact G700 – a...
Ni blog ambayo itakufundisha mambo mengi kuhusu technologia ya habari. katika kizazi cha sasa technology imeendelea kuwa chachu ya mafanikio.Katika blog yangu utapata maelekezo na vitu vinavyoendelea kutengenezwa kila inapoitwa leo katika ulimwengu huu. nitakuwa nakuletea kwa karibu vitu tofauti tofauti ili uweze kujionea na kuvitambua. katika kizazi hichi nani anakubali kuwa nyumaaa kitechnologia kaa karbu nami nikuelimishe na kukufikishia aina tofauti tofauti za kitechnilogia