Skip to main content

Posts

Showing posts from February 16, 2015

IJUE TECHNOLOGIA YA HABARI

TUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUJITENGENEZEA FURSA ZA MAENDELEO. Mwaka 2011,nilipata kufuatilia kwa ukaribu kuhusu mitandao ya kijamii.Nilipata muda wa kuchambua mtandao mmoja baada ya mwingine,nilipaswa kufanya hivyo ili kubaini ni nani ni gwiji kati ya mitandao hiyo.Nilipata kujua tofauti kati ya mtandao mmoja na mwingine,na kwanini mtu utumie mtandao huu na usitumie mwingine.Na mwisho wa siku nilikuja kutambua ya kwamba Facebook ndiyo ulikuwa mtandao uliotengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu,na unaotoa huduma nyingi zaidi ukifana nisha na mitadano mingine,kama twitter, linked in ,my space na mitandao mingineyo.Uchunguzi huo ulinichukua muda,takribani mwezi mmoja. Matumizi ya mitandao ya kijamii imebadili maisha ya watu wengi sana,haswa namna ya upashanaji habari.Taarifa zimekuwa zikiwafikia watu wengi sana ndani ya muda mfupi,na vyanzo vya habari vimeongezeka,ukilinganisha na miaka ya nyuma,na hii ni changamoto kwa TCRA katika kudhibiti ubora na ukweli wa habari zina...