Skip to main content

Posts

Showing posts from 2016

WAJASIRIAMALI WA TECHNOLOGY NA MAFANIKIO YAO

Wajasiriamali ni wengi katika tasnia hii ya technology. Kila mtu anajaribu kutumia ukuaji wa technology katika maendeleo yake binafsi na wengine wanatumia katika maendeleo ya jamii. Sikatai technology inafaida na hasara zake ila ndo mfumo wa dunia ya leo kuwa kunafaida na hasara. Kwa upande wa faida  Wao hutenda kwa ufanisi wa hali ya juu nakufanya kitu kuwa katika sifa na ubora, pia tabia na akili zao huja na mawazo ambayo huleta hamasa jamii. Lakini kwa sababu tu wao wanafikiri awali na kuja na wazo huchukua nafasi kubwa katika jamii zetu zinazotuzunguka. Kwa mfano wapo watu maharufu sana duniani kutokana na utumiaji mzuri wa technologia. Wapo nakina bill gates mmiliki na mwanzilishi wa microsoft, steven jobs moja wa waanzilishi wa iphone, mark Mark Zuckerberg  mwanzilishi wa facebook, Kevin Systromya mwanzilishi wa instagram na wengine wengi wapo wanaoendelea kula matunda ya technologia. Wewe pia unanafai yakufaidika na mitandao hata kwa kutumia ilio anzishwa na watu weng...
Worlds Brightest (G700 flashlight)   Inachukua kama dakika tatu kuona vizuri mpiga picha akikupiga picha usiku kwa kutumia flash au mwanga wa kamera Kwa wapenzi wa kuangalia filamu za wazungu utaona wanajeshi wakiingia kwenye mahandaki, wakiwa kwenye uokozi wa vifusi migodini au wakiwa kwenye vita za usiku kunatochi zinazomulika zinazo angaza umbali mrefu ikiachia macho uwezo wakuona vitu vya mbali, sasa kwa technologia ya kisasa au yakileo imekukuwa sio kuiona kwenye filam unaweza na wewe ukaimiliki nyumbani kwako. Ni baada ya  wanajeshi wameiachia kuiachia hiyo technologi kwa  wananchi wakawaida kutumie hiyo technologi ya mwanga LED G700. Ilikuwa ni technology ya kwenye filam na wanajeshi wengi ndo tumezoea kuona huko ila sasa wameamua na wewe mwananchi utumie ujivinjari na usiku uone kama mchana vile. Wameruhusu makampuni kuziuza tochi hizo aina ya kama LED G700 inavyoonekana hapa wanajeshi wakitumia G700 PICHA: HIYO NDO PICHA YA G700 ( LumiTact G700 – a...
  Kuanzisha tovuti kwa huduma mbalimbali Kwa afrika watu hunufaika na tovuti ndio kwanza ipo steji za mwanzoni, ni dhahiri unaona kila kijana anaangalia jinsi gani atajikwamua kiuchumi. kwa maana hiyo basi wewe kama kijana nikuchukua fursa hii na kucheck ni namna gan utaigusa jamii inayokuzunguka na ikubaliane na wewe katika lile jambo ulodhamiria kuwafikishia. Unaweza anzisha tovuti na kutoa huduma ya taarifa watu wanatafuta ,baada kuwa mmiminiko wa watu wengi wanaotembelea tovuti yako,unaweza sasa ongea na kampuni kadhaa kuja kutangaza na wewe  na kutengeneza fedha za kutosha.Kama hujui jinsi ya kutengeneza tovuti usijali kuna tovuti za bure kabisa  ambazo zimetengenezwa tayari kinachohitajika ni wewe kujaza fomu zao na ndani ya dakika moja unakuwa  na wewe tovuti yako,na kama unahitaji nunua domain unaweza ikawa moja kwa moja tovuti yako.Tovuti unazoweza ingia na kutengeneza tovuti yako bure ni  i)   www.weebly.com   ii)...