Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2015

IJUE TECHNOLOGIA YA HABARI

2. Inafanya maisha kuwa rahisi Upatikanaji wa habari umerahisishwa kwa kutumia kumpyuta na intaneti. Kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano( communication technology ),watu wanaweza kufanya mikutano kwa kutumia video (video conference) kwa mfano program ya Skype. Vilevile mtu anaweza kuwasiliana na ndugu na marafiki kwa kutuma   ujumbe ( chatting ). kwa mfano Facebook, what supp, tweeter n.k, zinatusababisha ujumbe ufikwe kwa walengwa husika kwa wakati.   pia kwa kutumia technologia unaweza kufanya kazi yeyote kwa kutumia muda mdogo sana mfano kufikisha taarifa kwa jamii uanweza kutumia mitandao ya kijami. pia technologia inaongeza uafanisi wa kazi za kila siku mfano utumiaji wa outlook katika baadhi ya makampuni ambayo ufanisi wake wa kushea data katika vitengo vyake inakua rahisi pia utumiaji wa technologia ya database  inasaidia uhifadhi mzuri wa data katika kampuni    ni technologia inayotumika kuhifadhi data zote za kampuni au biashara yako n...

maonyesho ya kiteknolojia duniani

Kwa zaidi ya siku tatu  nimekua nikifuatilia maonyesho ya kiteknologia inchini Barcelona Hispania ambapo makampuni mbalimbali na makubwa ya dunia yamekusanyika kuonyesha ukali wao kwenye maswala ya digital. Mpaka sasa HUAWEI wameendelea kuongoza kwa kuzimiliki headlines kubwa za dunia kutokana na bidhaa mbalimbali walizozindua ambapo leo ilikua ni zamu ya hii saa ya kisasa. Ni saa ambayo pamoja na mambo mengine, inakupa muda kama zilivyosaa nyingine, simu yako inaweza kuwa mbali na wewe lakini hii saa ikakuonyesha nani anakupigia, inakupa utabiri wa hali ya hewa, kuna sehemu ya kukutunzia kumbukumbu za vitu unavyotaka kufanya. Kingine kikubwa nilichopenda ni kwamba ina uwezo wa kukutelea taarifa mpya kila wakati kama umepata msg Facebook, kwenye email na mitandao mingine ya kijamii. Hizo ni baadhi ya sifa zake tu. Inapatikana katika muonekano tofauti kama inavyoonekana hapa. Unaweza kutazama video ya maelezo mengine ya hii saa kwa ku...

IJUE TECHNOLOGIA YA HABARI

Nadhani sasa unakubaliana na mimi kuwa technologia ya habari inaendelea kukua na wanajamii wanaendelea kuelewa na kuona faida zake katika jamii. nikweli kabisa jamii inaendelea kuwa huru nakufyatilia ukuaji wake japo kuna wachache wanoendelea kubadilisha mtazamo chanya kuwa hasi katika technologia .sikatai kweli technologia ya habari ina mapungufu yake katika jamii lakini leonataka nikutajie faida tano za technologia ya habari katika jamii inayo tuzunguka Mawasiliano: kiukweli bila technologia wewe na mimi tunakubaliana kwamba tulikua tunashindwa kufikisha ujumbe mahali usika kwa wakati na kuchelewesha habari kufikia jamii husika kama kunatatizo katika jamii. hivyo technologia ya habari imekuja kuokoa jamii zetu na kuzidisha maendeleo mazuri katika jamii zetu ikiwemo kuipa fusa tofauti tofauti kama vyombo vya habari, mitandao ya kijamii, makampuni ya simu yanayoshika kasi katika ukuaji wake wakila siku.kwa mfano kampuni la airtel linazidi kujiongezea wateja kutokana na promotion...

Kampuni ya Smartwatch kuzindua saa mpya

ni moja ya makampuni makubwa sana na yenye mafanikio katika biashara ya simu duniani sasa imejikita zaidi katika mambo ya Saa za mikononi zikiwa zinatumia technologia ya digitali kama hiyo apa : Saa hizo zinazoendelea kujipatia umaarufu duniani kutokana na uwezekano wakuhamisha au kushare  data zilizo kwenye simu na kuwa na uwezo wakuziona kwenye Saa yako ya mkononi kama mtu akikupigia, mesegi n.k unakuwa na uwezo wakuziona katika Saa yako ya mkononi.  haya ni mabadiliko ya technologia ya kilasiku na inaendelea kukua siku hadi siku na ni faida kwetu katika jamii zetu kwa mfano Samsung gear   yenye technologia sawa lakini zinaongezewa baadhi ya technologia na kuifanya ziendele kubadilika na kuraisisha maisha yakitechnologia kila siku. hembu lione hili na uniambie kama technologia ya habari inamanufaa kwetu au bado inaharibu jamii yetu