Kuanzisha tovuti kwa huduma mbalimbali Kwa afrika watu hunufaika na tovuti ndio kwanza ipo steji za mwanzoni, ni dhahiri unaona kila kijana anaangalia jinsi gani atajikwamua kiuchumi. kwa maana hiyo basi wewe kama kijana nikuchukua fursa hii na kucheck ni namna gan utaigusa jamii inayokuzunguka na ikubaliane na wewe katika lile jambo ulodhamiria kuwafikishia. Unaweza anzisha tovuti na kutoa huduma ya taarifa watu wanatafuta ,baada kuwa mmiminiko wa watu wengi wanaotembelea tovuti yako,unaweza sasa ongea na kampuni kadhaa kuja kutangaza na wewe na kutengeneza fedha za kutosha.Kama hujui jinsi ya kutengeneza tovuti usijali kuna tovuti za bure kabisa ambazo zimetengenezwa tayari kinachohitajika ni wewe kujaza fomu zao na ndani ya dakika moja unakuwa na wewe tovuti yako,na kama unahitaji nunua domain unaweza ikawa moja kwa moja tovuti yako.Tovuti unazoweza ingia na kutengeneza tovuti yako bure ni i) www.weebly.com ii)...
Ni blog ambayo itakufundisha mambo mengi kuhusu technologia ya habari. katika kizazi cha sasa technology imeendelea kuwa chachu ya mafanikio.Katika blog yangu utapata maelekezo na vitu vinavyoendelea kutengenezwa kila inapoitwa leo katika ulimwengu huu. nitakuwa nakuletea kwa karibu vitu tofauti tofauti ili uweze kujionea na kuvitambua. katika kizazi hichi nani anakubali kuwa nyumaaa kitechnologia kaa karbu nami nikuelimishe na kukufikishia aina tofauti tofauti za kitechnilogia