2. Inafanya maisha kuwa rahisi
Upatikanaji wa habari umerahisishwa kwa kutumia kumpyuta na intaneti. Kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano(communication technology),watu
wanaweza kufanya mikutano kwa kutumia video (video conference) kwa mfano program ya Skype.
Vilevile mtu anaweza kuwasiliana na ndugu na marafiki kwa kutuma ujumbe (chatting). kwa mfano Facebook, what supp, tweeter n.k, zinatusababisha ujumbe ufikwe kwa walengwa husika kwa wakati.
pia kwa kutumia technologia unaweza kufanya kazi yeyote kwa
kutumia muda mdogo sana mfano kufikisha taarifa kwa jamii uanweza kutumia mitandao ya kijami. pia technologia inaongeza uafanisi wa kazi za kila siku mfano utumiaji wa outlook katika baadhi ya makampuni ambayo ufanisi wake wa kushea data katika vitengo vyake inakua rahisi pia utumiaji wa technologia ya database inasaidia uhifadhi mzuri wa data katika kampuni
ni technologia inayotumika kuhifadhi data zote za kampuni au biashara yako ni muhimu sana kuwa na kumbukumbu ya data zako katika biashara uanayofanya iliujue wateja wako wanapenda nini ili uweze kuzidisha ufanisi wako katika biashara yako kikweli watumiaji wa hii technologia wanatambua umuhimu wake na jinsi inavyo saidia kukuza biashara zao
technologia inaendelea kufaidisha watu na kukuza miradi yao nakufanya dunia iwekitu kimoja na inaendelea kuturahisishia maisha katika jamii zetu. nakuomba uache comment yako hapo chini kama umeelewa au unaitaji ufafanuzi wa post hii

Comments
Post a Comment