Skip to main content

WAJASIRIAMALI WA TECHNOLOGY NA MAFANIKIO YAO

Wajasiriamali ni wengi katika tasnia hii ya technology. Kila mtu anajaribu kutumia ukuaji wa technology katika maendeleo yake binafsi na wengine wanatumia katika maendeleo ya jamii. Sikatai technology inafaida na hasara zake ila ndo mfumo wa dunia ya leo kuwa kunafaida na hasara. Kwa upande wa faida  Wao hutenda kwa ufanisi wa hali ya juu nakufanya kitu kuwa katika sifa na ubora, pia tabia na akili zao huja na mawazo ambayo huleta hamasa jamii. Lakini kwa sababu tu wao wanafikiri awali na kuja na wazo huchukua nafasi kubwa katika jamii zetu zinazotuzunguka. Kwa mfano wapo watu maharufu sana duniani kutokana na utumiaji mzuri wa technologia. Wapo nakina bill gates mmiliki na mwanzilishi wa microsoft, steven jobs moja wa waanzilishi wa iphone, mark Mark Zuckerberg  mwanzilishi wa facebook, Kevin Systromya mwanzilishi wa instagram na wengine wengi wapo wanaoendelea kula matunda ya technologia. Wewe pia unanafai yakufaidika na mitandao hata kwa kutumia ilio anzishwa na watu wengine kama facebook unaweza kutangaza biashara yako na ukapata wateja. Leo nakuletea baadhi ya sifa za wanatechnologia wajasiria mali na wenye mafanikio.
Kama umewahi kujiuliza kama ungekuwa mwekezaji?  Kama ujawaza sasa leo nakuomba uwaze kwa kupitia sifa za wawekezaji na wajasiriamali wa technologia. sifa 7  za Wajasiriamali wa technology na Mafanikio yao. Ntakulete wajasiria mali saba na mafanikio yao na kwanini wamefika hapo walipo sasa endelea kufyatilia Makala yangu 

Comments

Popular posts from this blog

5 Steps To Get Your Voice Heard At Meetings

Follow these five steps to get your voice heard during your next meeting. Master the pre-meeting Before the meeting, find something on agenda that you are passionate about and prepare a statement that expresses a strong opinion or idea that goes beyond agreeing with the status quo. “Women tend to speak in meetings when they agree with something that is already on the floor,” Adams says. “Work on putting a new idea out there first.” Arrive before the meeting starts and make small talk as colleagues come in, she says. This allows you to get comfortable with your voice in the room without any high stakes. “You are more apt to speak up during a meeting if you’ve already spoken to people,” she says. Use power language Get to the point and be clear about what you want. For instance, Adams says, there is a big difference between saying “I want this project to be successful so here’s what we should do” versus “Let’s take another look at this.”  Banish qualifying wor...

IJUE TECHNOLOGIA YA HABARI

Karibuni katika blog yangu kujifunza na kuelewa umuhimu wa habari katika jamii inayotuzunguka.......... katika jamii inayotuzunguka technologia ya habari imekua tofauti na kile ambacho kinadhaniwa katika jamii. inajulikana kama ni technologia iliyo na mitazamo hasi katika jamii kwa mfano mitandao ya jamii imekua ikiangaliwa katika mitazamo hasi katika jamii maana imekua ikipotosha jamii. HIVYO VYOTE VIMEBEBWA NA TECHNOLOGIA YA HABARI hiyo ni mitazamo ya baadhi na wanajamii wasio kua na uelewa wa hii technologia ya habari. leo nataka nikufungue na nikueleze maana na matumizi ya hii technologia ya habari katika jamii ya leo....... Nafurahi kuwa utanielewa na maana  Technologia ya habari inahusika na matumizi ya kompyuta zitumiazo umeme na programu za kompyuta kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza, na usalama katika kupokea habari. Hiyo ndo maana ya technologia ya habari na siyo kama wanajamii baadhi wanavyo ielewa. endelea kuwa na mimi katika kuji...

maonyesho ya kiteknolojia duniani

Kwa zaidi ya siku tatu  nimekua nikifuatilia maonyesho ya kiteknologia inchini Barcelona Hispania ambapo makampuni mbalimbali na makubwa ya dunia yamekusanyika kuonyesha ukali wao kwenye maswala ya digital. Mpaka sasa HUAWEI wameendelea kuongoza kwa kuzimiliki headlines kubwa za dunia kutokana na bidhaa mbalimbali walizozindua ambapo leo ilikua ni zamu ya hii saa ya kisasa. Ni saa ambayo pamoja na mambo mengine, inakupa muda kama zilivyosaa nyingine, simu yako inaweza kuwa mbali na wewe lakini hii saa ikakuonyesha nani anakupigia, inakupa utabiri wa hali ya hewa, kuna sehemu ya kukutunzia kumbukumbu za vitu unavyotaka kufanya. Kingine kikubwa nilichopenda ni kwamba ina uwezo wa kukutelea taarifa mpya kila wakati kama umepata msg Facebook, kwenye email na mitandao mingine ya kijamii. Hizo ni baadhi ya sifa zake tu. Inapatikana katika muonekano tofauti kama inavyoonekana hapa. Unaweza kutazama video ya maelezo mengine ya hii saa kwa ku...