Skip to main content
Worlds Brightest (G700 flashlight)
 
Inachukua kama dakika tatu kuona vizuri mpiga picha akikupiga picha usiku kwa kutumia flash au mwanga wa kamera
Kwa wapenzi wa kuangalia filamu za wazungu utaona wanajeshi wakiingia kwenye mahandaki, wakiwa kwenye uokozi wa vifusi migodini au wakiwa kwenye vita za usiku kunatochi zinazomulika zinazo angaza umbali mrefu ikiachia macho uwezo wakuona vitu vya mbali, sasa kwa technologia ya kisasa au yakileo imekukuwa sio kuiona kwenye filam unaweza na wewe ukaimiliki nyumbani kwako. Ni baada ya  wanajeshi wameiachia kuiachia hiyo technologi kwa  wananchi wakawaida kutumie hiyo technologi ya mwanga LED G700. Ilikuwa ni technology ya kwenye filam na wanajeshi wengi ndo tumezoea kuona huko ila sasa wameamua na wewe mwananchi utumie ujivinjari na usiku uone kama mchana vile. Wameruhusu makampuni kuziuza tochi hizo aina ya kama LED G700 inavyoonekana hapa
wanajeshi wakitumia G700
Ni aina ya tochi inamwanga 100* ya mwanga wa tochi zingine za kawaida kwahivyo inaonyesha umbali mrefu kiasi kwamba kitu cha mbali  kuna jua au kama kuna vifaa vingi vinavyotoa mwanga kwa mfano anaglia hii picha hapa chini na mawazo ya watu katika dunia hii endelevu kwenye ulimwengu wa kitechnologia

moja ya maajabu yake 

leo nimewaletea Worlds Brightest tochi ya maajabu katika ulimwengu wa kidigitali. Imenivutia kukujulisha wew uifyatialia technologia kutambua tunapoelekea katika ulimwengu huu wakidigital. Ikumbukwe kuwa Watumiaji wakubwa walikuwa wanajeshi   wa mipakani na  polisi wakikosi cha zima moto na waokoaji wa marekani.

Comments

Popular posts from this blog

5 Steps To Get Your Voice Heard At Meetings

Follow these five steps to get your voice heard during your next meeting. Master the pre-meeting Before the meeting, find something on agenda that you are passionate about and prepare a statement that expresses a strong opinion or idea that goes beyond agreeing with the status quo. “Women tend to speak in meetings when they agree with something that is already on the floor,” Adams says. “Work on putting a new idea out there first.” Arrive before the meeting starts and make small talk as colleagues come in, she says. This allows you to get comfortable with your voice in the room without any high stakes. “You are more apt to speak up during a meeting if you’ve already spoken to people,” she says. Use power language Get to the point and be clear about what you want. For instance, Adams says, there is a big difference between saying “I want this project to be successful so here’s what we should do” versus “Let’s take another look at this.”  Banish qualifying wor...

IJUE TECHNOLOGIA YA HABARI

Karibuni katika blog yangu kujifunza na kuelewa umuhimu wa habari katika jamii inayotuzunguka.......... katika jamii inayotuzunguka technologia ya habari imekua tofauti na kile ambacho kinadhaniwa katika jamii. inajulikana kama ni technologia iliyo na mitazamo hasi katika jamii kwa mfano mitandao ya jamii imekua ikiangaliwa katika mitazamo hasi katika jamii maana imekua ikipotosha jamii. HIVYO VYOTE VIMEBEBWA NA TECHNOLOGIA YA HABARI hiyo ni mitazamo ya baadhi na wanajamii wasio kua na uelewa wa hii technologia ya habari. leo nataka nikufungue na nikueleze maana na matumizi ya hii technologia ya habari katika jamii ya leo....... Nafurahi kuwa utanielewa na maana  Technologia ya habari inahusika na matumizi ya kompyuta zitumiazo umeme na programu za kompyuta kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza, na usalama katika kupokea habari. Hiyo ndo maana ya technologia ya habari na siyo kama wanajamii baadhi wanavyo ielewa. endelea kuwa na mimi katika kuji...

maonyesho ya kiteknolojia duniani

Kwa zaidi ya siku tatu  nimekua nikifuatilia maonyesho ya kiteknologia inchini Barcelona Hispania ambapo makampuni mbalimbali na makubwa ya dunia yamekusanyika kuonyesha ukali wao kwenye maswala ya digital. Mpaka sasa HUAWEI wameendelea kuongoza kwa kuzimiliki headlines kubwa za dunia kutokana na bidhaa mbalimbali walizozindua ambapo leo ilikua ni zamu ya hii saa ya kisasa. Ni saa ambayo pamoja na mambo mengine, inakupa muda kama zilivyosaa nyingine, simu yako inaweza kuwa mbali na wewe lakini hii saa ikakuonyesha nani anakupigia, inakupa utabiri wa hali ya hewa, kuna sehemu ya kukutunzia kumbukumbu za vitu unavyotaka kufanya. Kingine kikubwa nilichopenda ni kwamba ina uwezo wa kukutelea taarifa mpya kila wakati kama umepata msg Facebook, kwenye email na mitandao mingine ya kijamii. Hizo ni baadhi ya sifa zake tu. Inapatikana katika muonekano tofauti kama inavyoonekana hapa. Unaweza kutazama video ya maelezo mengine ya hii saa kwa ku...